Shetta afunguka juu ya kumiliki kiwanda Shetta Msanii wa Bongo Fleva, Nurdin Bilal 'Shetta' amefunguka juu ya pesa alizowekeza kwenye gari lake la sasa kuwa zingetosha kuanzisha kiwanda endapo angeamua kufanya hivyo. Read more about Shetta afunguka juu ya kumiliki kiwanda