Mbunge anayetaka Urais miaka 7 'ajivunia'

Mbunge wa Jimbo la Chemba Juma Nkamia.

Mbunge wa Jimbo la Chemba Juma Nkamia ameibuka na kutaja vitu anavyojivunia, katika kipindi cha utawala wake kwenye Jimbo hilo kwa kile alichokidai kuwa ametekeleza baadhi ya miradi mikubwa ya maji na ujenzi wa vituo vya afya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS