Kikosi cha Yanga kilichoanza jana. Tambwe ni wa kwanza kulia (walioinama).
Baada ya Amisi Tambwe kufunga bao moja kati ya mawili ya Yanga kwenye mchezo wa kombe la shirikisho dhidi ya Biashara United, leo amekosa mazoezi kutokana na kupata jeraha usoni.