Maalim Seif amtuhumu Makamu wa Rais kupanga njama

Maalim Seif

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif amemtuhumu Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd kupanga njama za kukwamisha kazi yake ya kukijenga chama.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS