Simba yatangaza ratiba ya mechi zake Afrika Kusini Baadhi ya wachezaji wa Simba kwenye mazoezi nchini Afrika Kusini. Klabu ya soka ya Simba leo Julai 20, 2019, imeweka wazi michezo yake ya kirafiki itakayocheza ikiwa nchini Afrika Kusini. Read more about Simba yatangaza ratiba ya mechi zake Afrika Kusini