
Sheikh Mkuu, Abubakar Zubeir Bin Ally
Swala ya Eid kitaifa itaswaliwa katika viwanja vya Masjid Kibadeni, eneo la Chanika Zogowali, Ilala Jijini Dar es Salaam.
Aidha, Baraza la Eid hapohapo katika viwanja vya Masjid Kibadeni mara baada ya swala kumalizika. Sheikh Mkuu anawatakia Waislamu na Watanzania wote sikukuu njema na anawaomba kusheherekea kwa amani.
Isome hapa taarifa kamili.