Nchi wanachama wa EAC zatahadharishwa na Ebola
Kutokana na mwingiliano mkubwa wa kibiashara kati ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo, upo uwezekano mkubwa wa ugonjwa wa Ebola kusambaa zaidi kutoka na mwingiliano wa watu.