Serikali kupeleka nje walimu wa Kiswahili

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Dkt. Damas Ndumbaro

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Dkt. Damas Ndumbaro, leo Julai 18, amesema Serikali ya Tanzania na Uganda, zimedhamiria kushirikiana kwa dhati  katika masuala ya biashara, yenye mlengo wa kukuza uchumi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS