Rais Mstaafu awakemea viongozi waliopo madarakani
Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, amekemea baadhi ya kauli zinazotolewa na viongozi waliopo madarakani hivi sasa nchini humo, na kudai kuwa wanatoa kauli ambazo zinaashiria ubaguzi miongoni mwa Wamarekani.