Serikali yasitisha safari za Ndege Afrika Kusini
Serikali ya Tanzania imesema kuwa, itasitisha kwa muda safari za Ndege yake aina ya Airbus A22O - 300, iliyokuwa inashikiliwa nchini Afrika Kusini kwa amri ya Mahakama ambapo jana iliachiwa, kufuatia hali ya vurugu na machafuko yanayoendelea nchini humo.

