TFF yatoa ujumbe kwa mashabiki, wadau na serikali

Mashabiki wa Taifa Stars baada ya mchezo wa jana huko Burundi.

Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF), limeishukuru Serikali na wadau wa soka nchini, wakiwemo mashabiki kwa ushirikiano ulioiwezesha timu hiyo kupata sare ugenini dhidi ya Burundi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS