"Mpapaso tayari upo kwa Watanzania" - Masau Bwire Masau Bwire Afisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa kauli mbiu yao ya 'Kupapasa' tayari imeanza kujengeka kwa mashabiki wa soka baada ya kuwafunga Yanga hapo jana katika mchezo wa ligi. Read more about "Mpapaso tayari upo kwa Watanzania" - Masau Bwire