Waziri awaambia ukweli wanawake wapenda sherehe
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, amewataka watanzania kuhakikisha wanajiunga na Mfuko wa Bima ya afya ili kupunguza gharama za matibabu, pindi wanapopatwa na matatizo badala ya kutumia fedha hizo katika masuala yasiyokuwa na tija.