Adele adai Talaka, ujio wa albam mpya Adele na aliyekuwa mume wake Tangu mwezi April taarifa ilitoka kuwa Adele pamoja na mume wake Simon Konicki, hawaishi tena pamoja japo bado wanasaidiana katika malezi ya mtoto wao bila matatizo yoyote. Read more about Adele adai Talaka, ujio wa albam mpya