RC Songwe aagiza watumishi kuwekwa rumande
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali Nicodemus Mwangela, amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Momba Juma Irando, kuwaweka rumande baadhi ya watumishi wa Halmashauri walio katika kitengo cha ugavi na ununuzi kwa kushindwa kutoa fedha za ujenzi wa mradi wa soko la mazao la kimataifa.

