Afisa habari Yanga amkosoa tena Haji Manara
Afisa Habari mpya wa Klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa hajaingia kwenye nafasi hiyo kwa ajili ya kuingia kwenye malumbano na Msemaji wa Klabu ya Simba Haji Manara, badala yake amekuja kufanya majukumu yake kitaaluma.

