Mrithi wa Lissu aapa kuinua elimu jimboni mwake
Mbunge wa Singida Mashariki kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Miraji Mtaturu, ameahidi kila mwaka atahakikisha anachangia sare za shule kwa wanafunzi 200 wa shule za msingi na sekondari pamoja na kulipia gharama mbalimbali za masomo kwa wanafunzi watakaofaulu kwenda

