Shilole aeleza Jux alivyokimbia na ada ya mtoto Mwanamuziki wa Bongofleva nchini Shilole, amefunguka na kusema kuwa moja ya wasanii ambao walimpa ahadi na hawakuitekeleza ni mkali wa BongoFleva Juma Jux, ambaye aliahidi kumlipia ada mtoto wake. Read more about Shilole aeleza Jux alivyokimbia na ada ya mtoto