Hamisa Mobetto amfanyia kufuru mama yake mzazi Muigizaji na msanii wa muziki Hamisa Mobetto, amemfanyia kufuru mama yake mzazi kwa kumnunulia gari aina ya Toyota Alphard ya rangi nyeusi yenye namba D, ambayo thamani yake ni Milioni 40 za Tanzania. Read more about Hamisa Mobetto amfanyia kufuru mama yake mzazi