Ijue dawa yakufubaza Ukimwi kwa muda mfupi
Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi hapa nchini (TACAIDS), Dkt Leonard Maboko, amesema kuwa Serikali imeanza kutoa mwongozo wa matumizi ya dawa mpya, inayojulikana kwa jina la TLD, dawa ambayo itakuwa ikifubaza Virusi vya Ukimwi kwa muda wa miezi sita.

