Makonda aagiza Wakandarasi kulala polisi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameagiza wakandarasi wa makampuni mawili ya miradi ya ujenzi, kukamatwa na kuhakikisha wanalala polisi na asubuhi ikifika wanaenda kufanya kazi ya ujenzi, hadi pale atakapojiridhisha na utendaji wao wa kazi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS