Magufuli asababisha TZ kupewa trilioni 1
Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB), imepongeza uamuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli wa kuhamia Dodoma na kuahidi kuidhinisha kiasi cha dola za kimarekani milioni 455 sawa na zaidi ya shilingi za kitanzania trilioni 1, kwa ajili ya ujenzi wa

