Polisi yaeleza undani jeneza lililokutwa sokoni

Sanduku la kuhifadhia mwili.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei amesema kuwa jeneza lililokutwa juu ya meza katika soko la Soweto mkoani Mbeya, lisihusishwe na imani zozote za kishirikina kwani jeneza lile lilikuwa ni mali ya msikiti wa Soweto.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS