'Ubwege unalinda mapenzi, mke wangu nampikia' - AT

Msanii wa muziki nchini Tanzania, AT

Msanii wa muziki nchini AT, amesema kuwa yeye amemzuia mke wake kuingia jikoni kupika, badala yake yeye huwa anampikia na hata kumtandikia kitanda, kwa kuwa wanawake duniani hawajaletwa kuteseka bali kupendwa na kuhudumiwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS