Wakati Yanga wakihamishiwa Samora, Simba watamba

Kocha wa Simba Sven Vandenbroeck

Baada ya mechi ya Tanzania Prison dhidi ya Yanga kubadilishwa uwanja kutoka CCM Sokoine Mbeya na kupelekwa Samora Iringa, wapinzani wao Simba wameendelea kujivunia takwimu za kocha wao mpya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS