Waziri ampa siku 7 Afisa Madini afanye haya
Waziri wa Madini Doto Biteko amempa siku saba Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Geita, Daniel Mapunda awe ametoa leseni za uchenjuaji zaidi ya 300 kwa wafanyabiashara wa madini ya Dhahabu mkoani Geita ambao wamekuwa wakizungushwa kuzipata.