Kuku aliyemuuwa mtoto wa miezi 6, auwawa

Wazazi wa mtoto aliyeuwawa kwa kushambuliwa na kuku

Moja ya taarifa kutoka maeneo ya malava Kaunti ya Kakamega nchini Kenya zinasema Kuku aliyemuuwa mtoto wa miezi ameshambuliwa hadi kufa na wanakijiji wa eneo hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS