Ommy Dimpoz adai hawachukii mastaa wa kike Bongo Msanii wa Muziki nchini Tanzania, Ommy Dimpoz Staa wa BongoFleva Ommy Dimpoz, amefunguka kuwa yeye sio mtu wa kuweka mahusiano yake wazi, pia hana matatizo yoyote na mastaa wa kike Bongo, japokuwa huwa haonekani akiwa nao karibu. Read more about Ommy Dimpoz adai hawachukii mastaa wa kike Bongo