Mke na Mume mbaroni kwa kumuua mtoto wa mwaka 1 Pingu Ally Mbavu na Sabina Alex ambao ni Mke na Mume wanashikiliwa na Jeshi la Polisi, kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mtoto wao wa mwaka mmoja. Read more about Mke na Mume mbaroni kwa kumuua mtoto wa mwaka 1