Mbowe kuiwakilisha CHADEMA Uhuru Day Mwenyekiti CHADEMA Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mboweanatarajiwa kushiriki kwenye maadhimisho ya sherehe za Uhuru zinazotarajiwa kufanyika Disemba 9, jijini Mwanza. Read more about Mbowe kuiwakilisha CHADEMA Uhuru Day