Rais JPM ampa siku 5 Kigwangalla na Katibu wake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametoa siku 5 kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Andrea Kigwangalla na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Adolf Faustine Mkenda kuondoa tofauti zao vinginevyo atatengua uteuzi wao.