Shemeji wa Bongofleva atua Bongo kutoka Marekani

Vanessa Mdee na mpenzi wake Rotimi walipotua Bongo

Muda mchache uliopita msanii wa kike Vanessa Mdee, ameonekana akiwasili katika Uwanja mpya wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA), akiwa na mpenzi wake Rotimi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS