Matukio ya burudani yaliyotikisa Bongo 2019
Leo Disemba 31, 2019 siku ya mwisho kabisa ya kumaliza mwaka huu, kupitia East Africa TV na East Africa Radio na mitandao yetu ya kijamii, tumekuandalia matukio yote ya burudani yaliyotikisa mwaka 2019.Yapo ya vifo, kiki, mahusiano, na vitu vilivyotrend kutoka kwenye mitandao ya kijamii.