Wakazi na wapita njia wakimzingira jamaa aliyepoteza fahamu baada ya kulewa
Jamaa mmoja kutoka nchini Uganda aliyetambulika kwa jina la Ismail Dholaga (35), amelazimika kunywa lita moja na nusu ya mikojo ya wanawake ili kurejesha fahamu baada ya kulewa tilalila.