Mwili wa Mfanyabiashara Ali Mufuruki kuagwa DSM
Mwili wa Mfanyabiashara Ali Mufuruki unaagwa leo Disemba 10, 2019 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam, baada ya mwili wake kuwasili jana kutokea Afrika Kusini.