Wanaume 4 wambaka hadi kumuua binti wa miaka 14
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala, linawashikilia watu wanne akiwemo Mponjoli Elisha (29), Fadhil Hamadi (24), Waziri Hassan (23) na Abdallah Salehe (20) wote wakazi wa Pugu Bombani kwa kosa la kumbaka binti wa miaka 14 na kumsababishia kifo.