Faru Fausta afariki Dunia sababu ya Uzee
Naibu Waziri wa Utalii, Costantine Kanyasu, amesema baada ya Faru Fausta kufariki kama Wizara watashirikiana na baadhi ya wanasayansi ili kuangalia namna ya kuhifadhi mwili wa mnyama huyo ili aendelee kuwa ambapo Watalii wataendelea kuja kumuona kama kivutio cha utalii.