Serikali yavifuta vyama vya ushirika 3436
Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga, amesema wamevifutia usajili vyama vya ushirika 3436, baada ya kuonekana haviendeshwi kulingana na taratibu za ushirika na kukiuka taratibu zilizopo hivyo kuvifanya viwe vyama hewa.