Maneno ya kocha wa Yanga baada ya kufungwa

Wachezaji na kocha wa Yanga katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar

Klabu ya Yanga imepata kipigo cha kwanza kikubwa na cha kihistoria kutoka kwa Kagera Sugar kwenye ligi kuu Tanzania bara na kuendelea kushuka kwenye msimamo wa ligi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS