Alama moja dhidi ya Simba haitoshi - Miloud

Kocha wa Yanga Hamdi Miloud

Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu hapo kesho Jumanne Mei 13 kati ya Yanga  dhidi ya Namungo Fc Uwanja wa KMC majira ya Saa ya Saa kumi kamili jioni, Kocha wa Yanga Hamdi Miloud amesema kuwa ni muhumi kushinda mchezo huo ili kuendelea kutengeneza tofauti ya alama zaidi dhidi ya Simba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS