Alikiba anena hili baada ya wasanii wake kujitoa Mkali wa BongoFleva Alikiba Stori kubwa iliyokuwepo siku ya leo Aprili 14, 2020, katika habari za burudani ni juu ya kujitoa kwa wasanii Killy na Cheed katika lebo ya Kings Music Records, ambayo inasimamiwa na msanii Alikiba. Read more about Alikiba anena hili baada ya wasanii wake kujitoa