RPC aeleza watu wanavyomshangaa kuweka Sanitizer
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Jonathan Shana, ambaye kwa sasa yuko mkoani Mara amesema amelazimika kuweka sanitizer nyumbani kwake kwa ajili ya kujikinga na Virusi vya Corona kwa wageni wanaokwenda kumsalimia, lakini baadhi ya majirani zake wanamuona anajidai.