Simba yaingia 'top 10', klabu maarufu Afrika

Klabu ya Simba

Klabu ya soka ya Simba imeingia kwenye nafasi 10 za juu katika listi ya klabu maarufu zaidi kwenye mitandao ya kijamii barani Afrika, ikishika namba nane kwa jumla ya wafuasi milioni 2.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS