Bibi aliyepigwa "Lockdown" adai kutaka bia zaidi

Bibi aliyeshika bango akitaka apewe bia zaidi

Moja kati ya picha iliyo-trend mitandaoni ni hii ambayo inamuonesha Bibi wa miaka 94, ambaye ameshika bango ambalo linaeleza kuwa anahitaji bia zaidi, baada ya kufungiwa ndani "Lockdown" wakati wa kipindi hiKi cha ugonjwa wa Corona.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS