Shule na vyuo kuendelea kufungwa Tanzania
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema agizo la kufungwa kwa shule za awali, msingi, sekondari na vyuo vyote vya elimu ya kati na vya elimu ya juu, litaendelea kubaki vile vile hadi hapo serikali itakapotoa tamko lingine.