Corona: Wagonjwa wapya 23 Zanzibar, 2 wafariki

Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohammed.

Wizara ya Afya Zanzibar imetangaza ongezeko la wagonjwa 23 wa COVID-19, hivyo kufanya idadi ya wagonjwa kisiwani humo kufikia 58, kati yao wagonjwa 21 ni raia wa Tanzania, mmoja wa Ufaransa na mmoja wa Cuba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS