Uganda: 22 wapona Corona, 1,126 wapimwa kwa siku Sampuli za vipimo Nchi ya Uganda mpaka sasa imeripoti visa 55 vya waathirika wa Virusi vya Corona, na 22 kati yao tayari wamekwishapona huku 33 waliobaki wakiendelea na matibabu. Read more about Uganda: 22 wapona Corona, 1,126 wapimwa kwa siku