Utafiti mpya chanjo ya COVID-19 waonesha matumaini
Utafiti wa chanjo
Utafiti wa jarida la kitabibu la The Lancet umeonesha chanjo ya COVID-19 ya China imeleta matumaini baada ya kujaribiwa kwa watu wazima 108 wenye umri wa miaka 18 hadi 60 katika jimbo la Wuhan.