"Sisemi uongo raundi hii nikijua naua mtu"-Shilole Msanii na mfanyabiashara Shilole Msanii na mfanyabiashara maarufu hapa nchini Shilole, ametoa onyo kwa mwanamke yeyote ambaye atamkuta na mume wake Uchebe kwa kusema ataua mtu. Read more about "Sisemi uongo raundi hii nikijua naua mtu"-Shilole