Droo ya ASFC, Simba, Yanga zapewa wababe Yanga dhidi ya Kagera Sugar Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho ASFC imepangwa leo Jijini Dar es Salaam na kushuhudia watani wa jadi nchini, Simba na Yanga wakikutanishwa na wababe wawili tofauti. Read more about Droo ya ASFC, Simba, Yanga zapewa wababe